Image result for tigo banner

NeyMar Awafuta Machozi Brazil Olympic

Neymar seals Gold for Brazil
Brazil timu ya mpira wa miguu imenyakuwa medali ya dhahabu baada ya kutungua Ujerumani kwa penaliti 5-4.
Mchezo huo uliweza kumalizika kwa kungana 1-1 dakika 120. Goli la brazili liifungwa na Neymar na huku la Ujerumani likifungwa na Maximilian Meyer.

 
Brazil waliweza kufika fainali ila na kukosa Medali hizo mwaka 1984, 1988 na 201.
 
Marquinhos of Brazil, Gabriel Jesus, Gabriel Barbosa, Luan and Neymar. 
Neymar of Brazil celebrates with his son 
 
 
 

No comments

Powered by Blogger.