Jacqueline Wolper aomba aitwe Jacq Lowasa
Katika
Mkutano wa Lowassa leo na Wanawake wa Chadema , Mwigizaji Jack Wolper
Alipewa Nafasi ya Kuongea Kuwawakilisha wasanii na Kusisitiza kuwa kwa
sasa jina lake ni Jack Lowassa Kama Alivyoandika kwenye ukurasa wake wa
Instagram siku kadhaa zilizopita
Post a Comment