Image result for tigo banner

Video: Yamoto Band waachia video waliyofanya Afrika kusini na Godfather, ‘Cheza kwa Madoido’

Yamoto Band wameachia rasmi video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya wimbo wao uitwao ‘Cheza Kwa Madoido’.
Mwezi June mwaka huu Yamoto walisafiri kwenda Afrika Kusini kushoot video hii na Godfather, mipango ambayo iliwezeshwa na Diamoand Platnmuz aliyewaunganisha na muongozaji huyo pamoja na kuwalipia gharama za utengenezaji. Hii ndio video ya kwanza Yamoto kufanya nje na director mkubwa wa kimataifa. Kwenye video hii pia Diamond ataonekana

No comments

Powered by Blogger.