Weusi wamfuata AKA Afrika Kusini kushoot video yao mpya
Weusi wakiwa location?
Wawili hao wamekuwa wakishare picha zinazowaonesha wakiwa kwenye maeneo
mbalimbali jijini humo wakiwa na AKA. Wameshare pia kipande cha video
kinachomuonesha AKA akiwazungusha kwenye mitaa ya jiji hilo.
Picha zinaonesha kuwa tayari wameshoot video hiyo na licha ya kutomtaja
muongozaji, hakuna shaka kuwa ni Justin Campos, aliyeshoot video ya Nusu
Nusu.
Post a Comment