Argentina yamkamua Bolvia mabao ya kutosha
Timu ya Argentina jana imeweza kuchomoza na ushindi mnono wa magoli 7 kwa 0 dhidi ya Bolivia.
Messi kwenye ubora wake kafanya yake. Messi alitokea benchi na aliingia na kufunga mabao la 5 na 6 kwa timu yake ya taifa mabao mengine yakifungwa na Aguero 2, Lavezz 2 na Angel Correa.
Post a Comment