URENO, UJERUMANI ZA KUWAKA USIKU WA KUAMKIA LEO
Ureno wamechezea kipigo cha moja bila kutoka kwa wafaransa kwenye mechi ya kirafiki usiku wa jana. Goli lilofungwa na Mathieu Valbuena.
Ujerumani imerudi kwenye nafasi ya kwanza kwenye kundi D baada ya kuichakza Poland 3-1 kwenye mashindano ya kufuzu kucheza EURO 2016.
Magoli ya ujerumani yalifungwa na Muller kwenye dakika 12, na Gotze alifunga magoli mawili kwenye dakika ya 19,82. Bao la kufutia machozi la Poland lilifungwa na Lewandowski dakika ya 36.
na kuufanya mchezo kuisha kwa 3-1.
Lineup, Bookings (4) & Substitutions (5)
Germany
- 01 Neuer
- 14 Can
- 17 Boateng
- 05 Hummels
- 03 Hector
- 07 Schweinsteiger Booked
- 18 Kroos Booked
- 13 Müller
- 08 Özil
- 16 Bellarabi (Gündogan - 53' )
- 19 Götze (Podolski - 91' )
Substitutes
- 02 Mustafi
- 04 Rudy
- 06 Ginter
- 09 Schürrle
- 10 Podolski
- 12 Zieler
- 15 Volland
- 20 Kramer
- 21 Gündogan
- 22 ter Stegen
- 23 Kruse
Poland
- 22 Fabianski
- 20 Piszczek (Olkowski - 43' )
- 04 Szukala
- 15 Glik
- 13 Rybus Booked
- 11 Grosicki Booked (Peszko - 83' )
- 06 Jodlowiec
- 08 Krychowiak
- 07 Milik
- 09 Lewandowski
- 05 Maczynski (Blaszczykowski - 63' )
Substitutes
- 01 Szczesny
- 02 Cionek
- 03 Jedrzejczyk
- 10 Linetty
- 12 Boruc
- 14 Olkowski
- 16 Blaszczykowski
- 17 Peszko
- 18 Mila
- 19 Zielinski
- 21 Wilczek
- 23 Borysiuk
Ref: Nicola Rizzoli
Post a Comment