
Kampuni inayojishughulisha na biashara ya mtandaoni "Google inc" imetambulisha Logo mpya ambayo imeanza kutumiwa na baadhi ya Tools zake ikiwemo Google+ na Google search Engine. Kwa sasa Google wanatumia sans-serif typeface kama font kwenye logo hiyo
Post a Comment