Picha: Shilole ajichora tattoo yenye Jina la Nuh Mziwanda

Msanii wa bongo fleva mwenye single ya ‘Hadithi’ inaoshika nafasi nzuri kwa sasa kwenye radio na Tv amefurahishwa na kitengo cha mchumba wake Shilole kuchora tattoo ya jina lake kwenye mkono wake kama aliyofanya yeye takriban mwaka mmoja uliopita.
Post a Comment