Joh Makini: Mkali wa bongo fleva aliyeandika rekodi mpya mwaka huu

Msanii Joh Makini ambaye kwa sasa anafanya vizuri kwenye
tasnia ya muziki wa kizazi kipya huku akiwa na heat song ‘Nusu Nusu’ inayotamba
kwenye radio na Tv stations tofauti nje na ndani ya nchi ameingia kwenye rekodi
ambayo ameiweka mwaka huu kuwa Msanii aliyefanya collabo na wasanii wote
waliokuwemo kwenye kinyang’anyiro cha msanii bora wa Rnb kwenye tuzo za KTMA(Kili Tanzania Music Awards) zilizotolewa
mwaka huu huku Jux akiibuka Mshindi kwenye category hiyo.
Kipengele hicho kilikuwa na wasanii Jux, Benpol, Damian sol
na belle 9
1.
Jux ft
joh Makini - Looking for you
2.
Damian Sol ft joh Makini Ni - Penzi
3.
Belle9 ft Joh Makini - Vitamin Music
4.
Ben Pol ft Joh Makini - Unanichora
Post a Comment