Image result for tigo banner

Pichaz za uharibifu na vurugu za mashabiki waliyo hudhuria katika mechi ya Hungary Vs Romania

Sehemu yoyote panapokuwa na mkusanyiko wa watu wengi, chochote kinaweza kutokea kutokana na wingi wa watu, hii imetokea katka mechi kati ya Romania dhidi ya Hungary ambapo mashabiki waliamua kufanya fujo uwanjani na uharibifu wa baadhi ya mali, hii ilikuwa katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza michuano ya Euro 2016.
2BFE2BEB00000578-0-image-a-143_1441466128540
2BFA25B200000578-0-image-a-115_1441393530954
2BFA240300000578-0-image-a-116_1441393539458
2BFAD67E00000578-3222806-image-a-2_1441396711608

No comments

Powered by Blogger.