Image result for tigo banner

Jokate na mrembo wa Kenya Sarah Hassan waja na show mpya ya TV ‘Mashariki Max

Jokate Mwegelo ameungana na mrembo wa Kenya, Sarah Hassan kwenye kipindi kipya cha TV kiitwacho Mashariki Max.
11371042_1617592151862296_504611208_n
Sarah Hassan na Jokate Mwegelo
Kipindi hicho kitakuwa kikioneshwa kupitia channel ya ST Swahili ya Star Times.
11356988_879256878794682_1880076870_n
Kipindi hicho kilichozinduliwa wiki hii kitakuwa kikijihusisha na mitindo ya watu maarufu Afrika Mashariki.
11326024_445265522330400_1416277317_n
11419149_464299497084597_1893028229_n

No comments

Powered by Blogger.