Picha: kinachoonekana katika ukarabati ndani ya uwanja wa Uhuru
Uwanja wa taifa wa zamani ambao kwa sasa unajulikana kama uwanja wa Uhuru au shamba la bibi, umefungwa kwa muda mrefu ili kupisha ukarabati wa uwanja huo, kwa muda mrefu uwanja wa Uhuru tumekuwa tukiona ukitumika kwa shughuli za kitaifa kama siku ya Uhuru na nyinginezo, bado mafundi wanaendelea na ukarabati.
Huenda ukawa hujabahatika kupata nafasi ya kuona maendeleo ya uwanja huo kwa hizi siku za karibuni toka ufungwe, ripota wa millardayo.com
nilipata nafasi ya kukupigia picha 29 za ukarabati ulipofikia. Kwa
asilimia kubwa sehemu iliyofanyiwa matengenezo ni majukwaa ya mzunguuko
ambayo awali yalikuwa na vyuma, na juu hayakuwa na paa.
Muonekano wa majukwaa ambayo kabla ya ukarabati yalikuwa na bomba za chuma kama jukwaa ila sasa wameboresha.
Post a Comment