Said Fella ameanzisha bendi ya Taarab. Bendi hiyo itajulikana kwa jina la Moyo Modern Taarab na ipo chini ya taasisi yake ya Mkubwa na Wanawe na itazinduliwa rasmi Dar Live Ijumaa hii
Post a Comment