Video: Sauti Sol – Isabella (Official Music Video)
Ikiwa bado ya moto moto, Sauti Sol wameachia video ya wimbo wao mpya ‘Isabella’, ambayo ni single ya sita kutoka kwenye album yao mpya ijayo ya tatu ‘Live and Die in Afrika’. Video imefanyika Las Vegas, Marekani. Itazame hapa
Post a Comment