Image result for tigo banner

Zari awajibu kwa picha wanaodhani kuwa hamnyonyeshi Tiffah maziwa yake

Mengi yamesemwa kuhusu picha za mtandaoni za Zari akimpa mtoto wake maziwa ya chupa, wengi wao hasa wanawake wakimlaumu kwa kushindwa kumnyonesha maziwa yake.
zari
Zari akimnyonyesha mwanaye
Mama huyo wa mtoto wa superstar wa Afrika Mashariki Diamond Platnumz, Tiffah amemjibu shabiki mmoja wa kike aliyemuuliza kwanini hamnyonyeshi Tiffah maziwa yake.
Zari alimjibu kwa picha akiwa anamnyonyesha Tiffah na kuandika; “Nini kinakufanya ufikirie simnyonyeshi…unasoma mambo mengi kutoka kwenye vyombo vya habari.”
zari kunyonyesha

No comments

Powered by Blogger.