Christian Bella na Alikiba wamaliza kushoot video ya ‘Nagharamia’ South, Tazama picha zaidi
Christian Bella na Alikiba waliopo nchini Afrika Kusini, wamekamilisha ku-shoot video ya wimbo wao ‘Nagharamia.’
Bella ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo ilienda kama walivyopanga.
“Video tumemaliza jana, imeenda poa na November inatoka audio na video, kwahiyo sasa hivi mashabiki wasubirie mambo mazuri yanakuja,” ameiambia Bongo5.
Post a Comment