Hili sio basi la abiria, ni nyumba ya kuishi inayotembea
Maisha popote… inavutia kuona ubunifu na
Teknolojia vinatuletea vitu vipyavipya Duniani… Pesa yako ndio inaamua
wapi uishi, wapo wenye nazo ambao watavutiwa kuwa na maisha yao ndani ya
hii gari ya kifahari !!
Ukiliangalia kwa nje ni basi la kawaida
tu kama ambayo tumeona wasanii wengi wa Marekani wanayatumia kwenye
safari zao.. lakini hili sio tour bus, hili ni Mjengo ambao ndani yake
kuna mahitaji muhimu yote ambayo yanatakiwa yawepo kwenye nyumba ya
kuishi, kwa maana nyingine hii ni nyumba inayotembea.
Unaweza kucheki nje mpaka ndani jinsi kulivyo kwenye hizi pichaz za Basi la American Eagle RV.
Gharama ya kulipata hili Basi ni Dola 219,450 ambazo zinagusa mpaka Tshs. Milioni 473
Post a Comment