New Video: Mabeste – Usiwe Bubu
Rapper Mabeste ameachia rasmi video yake mpya ya ‘Usiwe Bubu’ weekend iliyopita. Story ya video hii imewahusisha watu wawili tu ambao ni Mabeste na video model ambaye kwenye maisha ya kawaida ni mchumba na mama wa mtoto wa Mabeste aitwaye Lisa. Video imeongozwa na AJ
Post a Comment