Image result for tigo banner

Umeziona picha mpya za single ijayo ya Vanessa Mdee?

Vanessa Mdee ataachia single yake mpya ‘Never Ever’ Jumatatu ijayo.
CQs6upBWoAAdF1N
12132694_1094257307260539_59070332_n
Kwa Vee Money ambaye ataachia pia album yake iitwayo ‘Money Mondays’ baadaye, Jumatatu ni siku yake ya bahati.
Kabla Jumatatu haijafika, muimbaji huyo mrembo anakuandaa kwa mfululizo wa picha nzuri na za kuvutia. Picha hizo zilipigwa na Osse Greca Sinare.
Hizi ni picha mpya alizozitoa.
11849303_769746243171391_1283579521_n

No comments

Powered by Blogger.