Image result for tigo banner

Picha: Mwana FA, Diamond, Chege, Shaa, Master J wakutana Jozi, SA

Industry nzima ya Bongo Flava ilihamia Johannesburg, Afrika Kusini wikiendi iliyomalizika.
12301323_1513422528955823_1362360374_n
Mwana FA, Diamond, Chege, Julio na mshkaji wakiwa SA
Diamond, Mwana FA, Chege, Shaa, Master J, Julio walikutana jijini humo huku kila mmoja akionekana kwenda kutengeneza video yake.
12256591_1047233935329162_413462258_n
Chege, Sallam, Shaa, Godfather na Julio
Kuna kila dalili kuwa Diamond ameenda kushoot video yake mpya na Godfather na huenda mastaa hao wakaonekana kwenye video hiyo.
12328155_911056058971702_1099985093_n
Diamond na Chege
Shaa pia ameenda kushoot video mpya japo hakuna uhakika kama ameamua kumtumia Godfather pia au amerudi kwa Justin Campos aliyeshoot video ya wimbo wake Toba.
12277458_446426015556685_675482911_n
Chege, Zari, Shaa na Master J
“Wakati #TOBA inafanya yake…mambo mengine yanasukwa.. @sallam_sk @i_am_godfather @chegechigunda @juliobatalia,” ameandika Shaa.
Mwana FA yupo nchini humo kwa siku kadhaa sasa na tunafahamu kuwa ameshashoot video yake japo kuna uwezekano amebakia kufanya nyingine tena.
11875491_925529184197065_687241347_n
Chege na Julio nao wamekuwa huko kwa muda sasa na hivi karibuni walionekana kuwa karibu na Justin Campos kupika kichupa kipya

No comments

Powered by Blogger.