Mtandao mkubwa wa Marekani waisifia Cover ya Hello iliyoimbwa kwa kiswahili, wasema ni bora kuliko original
This is INCREDIBLE! RT @Adele's #Hello in Swahili might be the best cover yet. Listen HERE! https://t.co/qWiE83UNcv pic.twitter.com/8kTvSymfrC
— Perez Hilton (@PerezHilton) December 16, 2015
Zimetoka Cover nyingi za wimbo wa Adele ‘Hello’ lakini hii iliyoimbwa
na msanii wa Kenya, Dela Maranga kwa lugha ya Kiswahili inaweza kuwa
bora zaidi.Mtandao wa Perez Hilton umesema Cover ya wimbo wa Adele ‘Hello’ iliyoimba kwa kiswahili ni bora kuliko Original iliyoimbwa na Adele mwenyewe.
“Dela Maranga is a singer from Nairobi, Kenya,
and her Swahili version of the 25classic may actually be better than the
original. Her voice is powerful like Adele’s, but she also has this
soulful tone that makes the lyrics even more painful — in the best way
possible.”Wameandika kwenye mtandao huo
Post a Comment