Image result for tigo banner

Picha: Diamond uso kwa uso na watoto watatu wa mpenzi wa zamani wa Zari


Diamond Platnumz ameamua kuudhihirishia ulimwengu kuwa licha ya kuwa mama wa mtoto wake, Zarinah Tlale alimkuta na watoto watatu wa baba mwingine, lakini hilo halimzuii kuhang na watoto hao ambao baba yao ni Ivan Ssemwanga.
diamond na watoto wa zari
Akiwa Uganda weekend iliyopita Diamond na Zari walipost picha za familia ambapo kwenye moja ya picha hizo Diamond amepiga akiwa Zari na binti yao Tiffah na watoto wengine wa zari, na kusindikiza na caption ya kijembe.
diamond na watoto wa zari-2
“Me and my Stars!…Basi Hapo Vikurubembe roho zinawauuuuuuuumaaa…. #UTANIPENDA #SIMBA” aliandika Diamond.
diamond zari na mama zari
Hapa Diamond akiwa na Zari na mama mkwe

No comments

Powered by Blogger.