Image result for tigo banner

Video: Korede Bello Ft Tiwa Savage – Romantic

Video mpya ya msanii Korede Bello kutaoka lebo ya Don Jazz, Mavin Records ambaye alifanya vizuri na wimbo wake wa “Godwin”, Huu ni wimbo wake mpya unaitwa “Romantic” akiwa amemshirikisha Tiwa Savage, wimbo huu ni dedication kwa wapendanao kwaajili ya siku ya Valentine. Video imetayarishwa na Moe Musa.

No comments

Powered by Blogger.