BARCELONA YAFANYA USAJILI WA KUFURU
Klabu ya Barcelona ilifungiwa kufanya usajili kwa mda wa mwaka mmoja baada ya kuvunja sheria ya usajili kwa msajili mtoto mdogo kwenye shule yao ya kulea vipaji. Baada ya adhabu yao kuisha Barcelona wamefanya usajili wa wachezaji 77. Wawili tu ndo wamejiunga na kikosi cha kwanza. Alexis Vidal alisajiriwa na Barcelona mwezi wa sita mwaka jana pia Arda Turan alijiunga na klabu hiyo mwezi wa Saba lakini kutokana na Barcelona kufungiwa hawakuweza kucheza japo kuwa walikuwa wanafanya mazoezi chini ya kocha wao Luiz Enreq.
Wachezaji walio sajiliwa wamegawanywa hivyo kwenye timu za klabu ya Barcelona.
Aina ya wachezaji walio sajiliwa.
Moja wapo ya Academy ya Barcelona inaitwa LA Masia.



Post a Comment