Image result for tigo banner

EL CLASSICO IJAYO ITAKUWA NA VIOJA KAMA HIVI VILIVYOTOKEA ENZI ZA ZIDANE


Zidane amekuwa kocha rasimi ya klablu ya Real Madrid baada ya kufukuzwa kwa Carlo Ancelloti. Ancelloti ameiongoza Real Madrid kwa mda wa miezi saba. Amecheza mechi 25 na kushinda michezo 17 ame sare mechi 5 na kupoteza mechi 3. Uamuzi wa bodi ya klabu ya Real Madrid kumfukuza Ancelloti umekuja baada ya kutoa Droo 2-2 na klabu ya Valencia inayo ongozwa na gwiji ya Machester United Garry Neville na ndugu yake Phill Neville kama kocha msaidizi.
Real Madrid wameshindwa kuvuta point wanazo zidiwa na mahasimu wao Bercelona wanao onekana wameshuka kidogo kiwango baada ya kutoka kwenye mashindano ya klabu bingwa ya duni.
Zidane alikuwa kocha wa Real Madrid kikosi B.
Kila mwanasoka Duniani anaitupia jicho El Classico ijayo itakuwa vipi dhidi ya Mahasimu wawili hao walio cheza timu hizo za zamani na sasa ni makocha wa timu hizo.





No comments

Powered by Blogger.