Image result for tigo banner

Diamond atajwa kuwania tuzo za MAYA 2016 za nchini Nigeria

Diamond Platnumz ambaye kutokana na kutajwa mara kwa mara kuwania tuzo mbalimbali wanamuita ‘Mondi Bin Awards’, ametajwa kuwania MOREKLUE ALL YOUTH AWARDS 2016 kwa kifupi MAYA Awards za nchiniNigeria, ikiwa ndio nomination yake ya kwanza kwa mwaka huu 2016.
diamond afrima
Kwenye kipengele cha African Music Act Diamond anawania pamoja na wasanii wengine wenye majina makubwa Afrika akiwemo, Wizkid, Sarkodie, Fuse ODG, Davido, AKA, Olamide na
Cassper Nyovest.
Tuzo za MAYA zitatolewa January 31, 2016 jijini Lagos, Nigeria

No comments

Powered by Blogger.