Faiza ajizushia kifo, aeleza kwanini alifanya hivyo
Faiza Ally hufanya kile akili yake inamtuma na ndio maana hivi karibuni alijizushia kifo chake mwenyewe na kusababisha tafrani kubwa.
Faiza Ally akiwa mwenye machozi
Kipitia ukurasa wake wa Facebook, aliandika: Faiza Ally kafa akiwa anatoka location
Akizungumzia sababu ya kuandika ujumbe huo, Faiza ameiambia Bongo5 kuwa alifanya hivyo baada ya kukasirishwa na madirector wa filamu yake mpya ambao wamekuwa wakimsumbua.
“Niliamua tu kuandika kuwa nimekufa,” amesema. “Hawa director wangu wa filamu wananisumbua sana, nikaona nijisingizie nimekufa na baada kutangaza walinitafuta na baada ya kuniona walifurahi sana. Nilijifikiria tu nikaona nifanye hivyo na sioni kama kuna tatizo kama tayari watu na ndugu wamejua mimi ni mzima.”
Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii baada ya kujisingizia amefariki.
Phiphi_kinukt
aeeeh jamanii nimeliaa sanaaa kabla sijapata uhakikaaa
aeeeh jamanii nimeliaa sanaaa kabla sijapata uhakikaaa
Sherughanaim
Dada wewe kungu hatajiwi omba msamaha
Dada wewe kungu hatajiwi omba msamaha
Rahmab823
Unaomba kifo unafikili waliotangulia kufa wrote waliomba kifo na kuacha familia zao ucjipe laana Dada uombe kifo ucombe kifo ahadi ikifika utakufa tu.
Siamary
Rest in peace mama sasha,Mwenyez mungu akupunguzie adhabu ya kaburi.
Aymwalatin
Sawa umeshakufa jiandae na kujibu maswali ya malaika wa kaburini, na jiulize jinsi mwanandani atakavyokubana
Asnathstiven
R.I.P KUFA TU JAMANI HATA MM HAPA NILIPO NIMETOKA KUZIKA TENA MTU AMBAE ALIKUA ANAVAA NGUO SIO KAMA WW MKAA UCH

Post a Comment