Image result for tigo banner

MESSI KWA WANYOOSHA BALLON D'OR 2015 AWARD


Lionel Messi ametwaa tuzo ya Ballon D'or. Messi ameweza kunyakua tuzo kwa mara ya tano. Alikuwa akishindanishwa na Christiano Ronaldo na Neymar Dos Santos JR. Katika mahijiano Messi ametamka ya moyoni na kusema anataka amalizie kucheza mpira alpo anzia na sipengine ni kwenye klabu yake ya Barcelona.
Wachezaji wa msimu wa 2015.


Wakiwa ukimbini wanasubiria kupokea tuzo. Messi na Ronaldo wameweza kuka karibu sana. Na waliweza kukumbtiana kitu ambacho ni kilikuwa kigumu kutokea. 


No comments

Powered by Blogger.