Video: Mzee Yusufu Ft Vanessa Mdee – Mashallah
Mfalme Mzee Yusuf ambaye ni mmliki wa Band ya Taarab ya Jahazi ametoa video mpya ya single inaitwa “Mashallah” amemshirikisha Mwanadada anaye fanya vizuri Afrika Vanessa Mdee. Video imeongozwa na Abby Kazi
Post a Comment