Image result for tigo banner

Video ya Weusi na Jux walivyoiachia burudani kwa watu wao wa Mtwara


February 27 2016 kundi la Weusi pamoja na staa wa bongo fleva Jux, waliidondosha burudani kwa watu wao wa Mtwara, show hiyo iliyopewa jina la ‘Usiku wa Weusi na Jux‘ ilikuwa kama unavyoweza kujionea hapa chini kwenye hii video….

No comments

Powered by Blogger.