Image result for tigo banner

Jay Z afurahi kukutana na Prezzo

                               Msanii Jay Z akiwa na Prezzo.
bali yeye anaweza kufanya collabo kubwa zaidi na wasanii kutoka nje ya Africa.

Kupitia kipindi cha eNEWS Prezzo anasema yeye haitaji collabo za wasanii kutoka Afrika ili kutoka kimuziki sababu anajiamini na anajua anachokifanya na kusema kwamba wasanii wanatakiwa watambue kuwa yeye ameshawahi kukutana na msanii Jay Z na Jay Z alifurahi sana kukutana naye.

"Mimi niko tofauti hivyo sifikiri nahitaji kufanya collabo na msanii wa nje ili nitoke, mimi najiamini sana lakini kumbukeni kwanza nilishakutana na Jay Z. Kwa hiyo nyinyi mnafanya collabo sijui na wasanii kama kina Davido mnaona mmefika mimi sipendi hicho. Jay Z alipokutana na mimi jamaa alifurahi kinoma yaani" alisema Prezzo

Msanii Prezzo amekuwa na tofauti kwenye muziki na msanii mwenzake kutoka Kenya Jaguar japo kupitia eNews Prezzo alimpa shavu msanii huyo kwa kuweza kufanya collabo na Mafikizolo.

No comments

Powered by Blogger.