Image result for tigo banner

Kwa mara ya kwanza Vanessa Mdee kaongea kuhusu beef na Shilole



Baada ya kuwepo kwa taarifa zilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana beef, ukweli umejulikana, OnAIRwithMillardAyo imempata Vanessa amezungumzia beef hiyo’…….

Shilole alikuwa ameongea kwamba ni mrembo kuliko msichana yeyote kwenye bongo fleva,  nasikia mashabiki wakaibeba wakasema hakuna wa kulinganishwa na V, baada ya kuona watu wanatengeneza kama shindano akanieleza alikuwa anatania lakini mimi sikuchulia serious na nilikuwa nimesahau kabisa’

tulivyokuwa tumekaa tukawa tunajadili industry yetu jinsi gani watu wako tayari kugombanisha watu badala ya kusupport’:-Vanessa Mdee

No comments

Powered by Blogger.