Picha: Mapokezi ya Real Madrid nchini Hispania baada ya kutwaa kmbe la UEFA
Klabu ya usiku wa May 28 2016 kwa kuwafunga wapinzani wao Atletico
Madrid katika mchezo wa fainali ulio pigwa katika jiji la Milan, Italia
uwanja wa San Siro, ilikuwa ni fainali inayohusisha timu kutoka jiji
moja la Madrid.
Real Madrid walifanikiwa kutwaa Kombe lao 11, huku Atletico
wakiambulia kushindwa kuweka rekodi ya kutwaa Kombe hilo kwa mara ya
kwanza katika historia ya klabu yao, Real Madrid walifanikiwa kuifunga
Atletico kwa mikwaju ya penati 5-3, hiyo ni baada ya dakika 120
kumalizika kwa sare ya goli 1-1.
Real Madrid waliwasili Hispania katika jiji la Madrid wakiwa na Kombe
lao la 11 la UEFA nakupokelewa na mashabiki wengi walio jitokeza kwa
wingi katika jiji hilo la Madrid.
Post a Comment