Image result for tigo banner

Show ya uzinduzi wa video mpya ya G Nako, Quick Rocka na Jux ‘Hapo’


Usiku wa 28 mtu wangu wa nguvu ni siku rasmi ambayo wasanii wa Bonfleva G Nako, Quick Rocka na Jux waliamua kufanya uzinduzi wa video ya ngoma yao waliofanya pamoja ‘Hapo’ uzinduzi ulifanyika Azura Beach kwa mastaa hao kufanya performance. Kama ulikosa time ya kwenda kuangalia uzinduzi huo, video ipo hapa mtu wangu

No comments

Powered by Blogger.