Video: Wabunge wawakingia kifua wanafunzi waliofukuzwa UDOM
Jumatatu hii Naibu Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amelazimika kusitisha shughuli za bunge hilo kabla ya muda baada ya wabunge kugoma wakitaka wajadili suala la wanafunzi walioondolewa kwenye chuo kikuu cha Dodoma, UDOM.
Wanafunzi hao takriban 700 walitakuwa wawe wameondoka chuoni hapo hadi Jumapili ya jana.
Tazama baadhi ya wabunge hapo chini wakizungumzia suala hilo.
.
Post a Comment