Jana ilipigwa fainali ya kombe la Copa America ambapo Chile iliweza kutwaa kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuilaza Argentina kwa penati 4-2. Kikubwa katika mchezo huo ni mshambuliaji ya Argentina na mchezaji bora wa Dunia, Lionel Messi kukosa penati.

Tazama namna walivyopigiana penati katika fainali hizo zilizopigwa huko Marekani