Image result for tigo banner

Hii ndiyo good News kutoka WCB, ni baada ya kukosa tuzo BET





Baada ya kukosa tuzo alizokuwa akishiriki nchini marekani "BET Awards" na tuzo hiyo ya Best international act kutoka afrika kwenda kwa Black Coffee wa afrika kusini Management ya WCB imetangaza tarehe 30 kuwa ndiyo siku itakayoachiwa ngoma mpya kutoka kwa Diamond platnumz. Diamond hadi hivi sasa ana colabo nyingi ambazo hazijaachiwa bado lakini wataalamu wa mambo wanadai colabo inayofwatia ni ya yeye na P Square.


Kupitia akaunti yake ya twita diamond aliandika:


No comments

Powered by Blogger.