Image result for tigo banner

Waziri Mkuu mpya wa Uingereza kuteuliwa Septemba 2,Ni baada ya Cameroon kujiuzuru

Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, atateuliwa Septemba 2.
david_cameron_0
Tarehe hiyo imetangazwa Jumatatu hii na kamati maalum inayosimamia upatikanaji wa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo baada ya David Cameron kutangaza kujiuzulu wiki iliyopita.
“We recommend that the process of electing a new leader of the Conservative Party should commence next week … and conclude no later than Friday the second of September,” alisema Graham Brady, mwenyekiti wa kamati hiyo.
Cameron alitangaza kustaafu baada ya Uingereza kuamua kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya, EU.

No comments

Powered by Blogger.