Christian Bella alivyomwagiwa mahela kwenye ‘The Black Tie’ ya Wema Sepetu
Msanii wa muziki Christian Bella amefanya show ya nguvu katika show
ya ‘The Black Tie’ ambayo iliandaliwa na malkia wa filamu Wema Sepetu.
Steve Nyerere amwaga mapesa kwa Christian Bella
Show hiyo ambayo imefanyika usiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es salaam, imeacha historia ya aina yake katika muziki kutokana wadau mbalimbali pamoja na mastaa wa filamu kushindana kumtuza msanii huyo. Katika show hiyo pia Bella alisindikizwa na Linex, Barnaba pamoja na Linah.

Pia mkali huyo wa masauti aliweza kuzindua CD yake ya show ya miaka
10 ya Christian Bella iliyofanyika mwezi mmoja uliyopita. Aliangalia za
matukio ya show hiyo.
Bella akikusanya mshiko kwanza
Bella akikusanya mshiko kwanza
Bella akimwagiwa dola
JB akimwaga pesa kwa Christian Bella
JB na Irene Uwoya
Mwendo wa pesa tu
Steve Nyerere na Mama Wema we acha tu
Irene Uwoya akimtuza Bella
Bella akicheza na bosi aliyemmwagia dola za kutosha
Bella akifanya yake
Bella, Wema Sepetu pamoja na Idris Sultan
CD mpya ya miaka 10 ya Christian Bella ikizinduliwa
Mama Wema akisaliamia mmoja kati ya wageni wa VIP
Mwendo ya pesa tu
Pesa kwanza mengine baadae
Shilole akisakata rumba na Esha Buheti
Steve Nyerere na Mama Wema we acha tu
Post a Comment