Picha: Red Carpet ya ‘The Black Tie’ ya Wema Sepetu
Usiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es
salaam mastaa wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali walivunja
makabati ya nguo kwa kuvaa nguo kali ili kuonyeshana umwamba katika Red
Carpet ya show ya ‘The Black Tie’ iliyoandaliwa na staa wa filamu, Wema
Sepetu.
Mama Wema akihojiwa na Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima
Mama Wema akihojiwa na Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima
Show hiyo ambayo ilianza majira ya usiku, ilipambwa na mkali wa
masauti, Christian Bella huku akisindikizwa na wasanii mbalimbali.
Angalia picha za red Carpet.
Steve Nyerere akiwa na wasanii wenzake
Esha Buheti akikaribishwa katika red carpet
Faiza Ally
Faiza Ally akiwa na shabiki wake
Linah akihojiwa
Linex
Esha Buheti
Miss Tanzania 2014, Lillian Kamazima
Utampenda Bi. Linah Sanga
Steve Nyerere na wadau wake
photo by: bongo5
Post a Comment