P-Square bado wana uadui mkubwa, soma makavu ya Peter kwa nduguze!
Kundi la P-Square bado lina matatizo makubwa. Peter hafurahii jinsi
nduguze Paul na meneja wao wa zamani, Jude wanavyoendelea kuneemeka na
brand ya P-Square nyuma ya mgongo wake.
Ijumaa hii aliezelea kusikitishwa na matangazo kuwa kundi hilo lingetumbuiza mjini Goma katika jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na Kinshasa, wakati yeye hakuhusishwa na lolote. Aliwatuhumu Paul na Jude kusema uongo kuwa yeye alikuwa mgonjwa hivyo asingekuwepo.
Anadai kuwa hakuridhia malipo ya show hiyo na kwamba hapendi kuona jina la P-Square analolimiliki yeye na pacha wake kuendelea kutumiwa kijanja. Ametishia kuchukua hatua za kisheria:
Akipost poster ya show hiyo kwenye Instagram, Peter aliandika:

"This goes out to all my Fans in Congo Specifically and the entire world in General. My attention has been drawn to a much publicised show holding today 8th July, 2016(VIP SHOW) and tomorrow 9th July, 2016,(in Goma) and on the 17th of August in Kinshasa wherein the name Psquare was used maliciously and mischievously to garner patronage and huge fans attendance as against the stage name Rudeboy which is used when my Twin Brother, Paul, and Co-owner of the stage name Psquare performs alone.
I never endorsed the usage of my name as the contractual terms presented were not favourable to me, thus I am not part of the show booked by our former manager Jude and I wholeheartedly disassociate myself from the unauthorized use of my Co-owned stage name (Psquare) and images for promotional and economic reasons without my express written consent or permission.
Contrary to the wild allegations making the rounds that I could not attend the show because I am sick and missed my flight along with my crew members, I wish to counter same and state categorically, that I am 101% healthy.
I shall take appropriate legal actions in the nearest future against the promoters and the sponsors of these events @airtel_congob for character assassination and malicious misrepresentation. Thank you."
Post a Comment