Zari kwangu namuona kama binti mwenye miaka 19 - Diamond Platnumz
Ana miaka 35 na watoto wanne, lakini Diamond anamuona Zari ndio kwanza kama ana miaka 19 hivi!
Kwa muda mrefu baadhi ya watu wamekuwa wakimkejeli staa huyo kuwa na uhusiano na mwanamke anayemzidi umri, lakini hilo kwake linaonekana kutomshtua asilani.
Mama huyo wa mtoto wake kipenzi, Tiffah yupo mjini alipokuja kusherehekea birthday ya mamkwe wake, Bi Sandra, na Diamond ameendeelea kusisitiza jinsi anavyomkubali.
“Mungu nae anaumbaga bwana….Kama kana Miaka Kumi,” ameandika staa huyo kwenye Instagram.
Lakini si wote waliokubaliana na maneno ya Chibu!
“Iyi macho ayi fanani 10. Yes she’s beautiful but not like 10. Age is just a number, yes. But her Eyes tells me 40+ sorry kaka Chibu I know love is blind. Anyways she’s still the woman who bring smile in you. She deserves respect. But never compare her to kumi. Plizzzz watu wana kucheka bure,” ameandika follower wake mmoja.
Wengi wapo upande wa Diamond, kama huyu aliyeandika: She got the brains… She got class… She got money… She got fame… She got kids! She got it all!!! & good enough she doesn’t give a fuck on what her stupid haters say!!! #kamatiaHapaHapa.”

Post a Comment