Picha | Guardiola alivyotambulishwa mbele ya mashabiki wa Manchester City na mikakati yake kuhusu Lionel Messi
Pep Guardiola ’45’ ametambulishwa
rasmi kwa mashabiki wa klabu ya Manchester City kama kocha wao mpya.
Guardiola mbele ya mashabiki 5,800 kwenye jukwa la shule ya mpira ya Man
City Football Academy.
Pep Guardiola anaanza mazoezi na Man City
Jumatatu ya July 4 2016,Guardiola pia ameongelea tetesi za kumsajili
Lionel Messi kutoka Barcelona nakusema “Hilo jambo haliko kabisa kwenye mipango yangu“
Post a Comment