Image result for tigo banner

Sintofahamu dhidi ya Memphis Depay yatanda, Ataendelea kuwepo Man U?

Baada ya tetesi za staa wa timu ya taifa ya Uholinzi Memphis Depay kuondoka Man Untd, imeripotiwa kuwa staa huyu amesharudisha vyombo viwili vya usafiri alivyokuwa navyo Uingereza anapoishi kwa sasa akichezea Man Utd.

Vitu hivi ambavyo vimerudishwa Uholanzi vinathamani ya Pound £350,000 ni pamoja na gari aina ya Mercedes G Wagon na Scorpion Trike.
Memphis 1 Memphis 2 Memphis 3 Memphis 4 Memphis 5 Memphis 6

No comments

Powered by Blogger.