Picha ya Nicki Minaj yawatoa udenda vidume huko Instagram
Usanii unaweza ukawa ni mgumu kutokana na muda mwingine unaweza
ukafanya kitu ambacho hukutarajia kukifanya – hata kupiga picha ukiwa
mtupu.
Rapper wa bora wa kike Marekani, Nicki Minaj amewashtua mashabiki na
kuwatoa udenda vidume kutokana na picha yake aliyopost kwenye mtandao wa
Instagram inayoonyesha sehemu kubwa ya nyeti za mwili wake zikiwa wazi.
Ni muda mrefu Nicki Minaj ameonekana kukaa kimya hali iliyopelekea
mashabiki wake kuwa na wasiwasi juu ya hatima yake kwenye muziki.
Hata hivyo Nicki Minaj na Kim Kardashian wanaongoza kwa kupiga picha zinazoonyesha sehemu kubwa ya nyeti zao zikiwa tupu.
Post a Comment