Image result for tigo banner

Picha zaidi Ajali ya basi kampuni ya 'City Boy' iliyotokea leo singida




Kamanda wa polisi mkoa singida Thobias Sedoyoka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kwamba ajali hiyo inahusisha basi lenye usajili wa no T 531 BCE likitokea dar kwenda kahama na basi T 247 linalotoka kahama kwenda Dar yote ya kampuni moja CITY BOYS, yamegongana uso kwa uso na kuuwa abiria 24 papo hapo na kujeruhi wengine


Kabla ya kuua watu, lilikamatwa na tochi likiwa na spidi 122km/hr. Kwa taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo bonyeza hapa.



No comments

Powered by Blogger.