Image result for tigo banner

Wolves wamemteua Walter Zenga kuwa kocha wao mpya baada ya kumtimua kazi Kenny Jackett

Walter Zenga

Wolves wamemteua   Walter Zenga kuwa kocha wao mpya baada ya kumtimua kazi Kenny Jackett

Zenga ameichezea timu ya Intermilan kwa mda wa miaka 16 kabla hajatimukia Marekani. Ameichezea timu yake ya taifa ya Italia michezo 58. Zenga amekuwa kocha wa United Arab Emirates side Al-Shaab.
 
No comments

Powered by Blogger.