Image result for tigo banner

Diamond azidi kuipaisha Tanzania ::Kidogo dogo yazua mazuri zaid.



Cpqa09hWEAAvWsM
Kidogo dogo ya Diamond ft Psquare Imefahamika kupitia Playlist ya wiki nzima ya kituo hicho maarufu cha redio iliyotolewa Ijumaa hii, August 12. Diamond na P-Square, wanaungana na Wizkid kama wasanii pekee wa Afrika waliopo kwenye playlist ya kituo hicho.

No comments

Powered by Blogger.