Image result for tigo banner

Pogba aanza na mikosi Manchester United ,Januzaj achekelea ,Fosu atia kandarasi mpya, Stones kudhihilisha uwezo Juma pili







Manchester United imepata mshangao mkubwa baada ya usajii wao mpya wa Paul Pogba kushindwa kucheza mechi ya ufunguzi wa klabu hiyo siku ya jumapili dhidi ya Bournemouth. Pogba alipata kadi za njano mbili ligi kuu Italia(Coppa Italia) adhabu yake imehamishiwa ligi kuu uingereza. Kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho ameshangaa na kusikitishwa sana na uamuzi wa chama cha mpira wa mguu nchini Uingereza.


Timothy Fosu-Mensah amesaini mkatabawa mika minne. Hivyo basi muholanzi huyo atendelea kubakia klabuni hapo kwa miaka minne zaidi.

 
Januzaji. Leo kocha mkuu wa United alipokuwa naongea na waandish wa habari amesema"Nina mpango mkubwa na Adnan Januzaj ndio maana nimeampleka kwa mkopo ligi kuu Uingereza na siyo mahali pengine.." kocha huyo ameongeza na kusema kuwa" Hapo baadae ana muhitaji kinda huyo kurudi OT kuendelea kukaa kwenye mipango yangu."  
 
David Moyes kocha mkuu na mpya wa klabu ya Sunderland amethibitisha kuwa kiungo wa Manchester United Adnan Januzaj amejiunga na klabu hiyo kwa mkopo na atakuwa tayari kucheza mechi dhidi Manchester City.

 
John Stones beki mpya wa Manchester city akitokea Everton amethibitishwa kuwa yuko tayari kwa ajili ya mchezo wa wikiendi hii dhidi ya Manchester City.




No comments

Powered by Blogger.