Image result for tigo banner

Hii ndo sababu ya Pogba kuikosa mechi yake ya kwanza Man U



Chama cha soka Uingereza FA wamethibitisha kuwa mchezaji mpya wa Man U, Paul Pogba ataikosa mechi yake ya kwanza Man U dhidi ya Bournemouth.

4999
Pogba ambaye kwasasa ndo mchezaji ghali zaidi duniani alikuwa mmoja wa wachezaji waliopigwa nyundo na FA ya kutocheza kwenye raundi ya kwanza ya Ligi kuu ya Uingereza, baada ya kupata kadi mbili za njano kwenye ligi aliyotoka ‘Coppa Italia’ ambayo adhabu yake ni kukosa mechi moja.
Man U ili msajili Pogba wiki iliyopita kwa paundi Million 83 akitokea Juventus.

No comments

Powered by Blogger.